Sijui Nikoje Lyrics , Whozu

Sijui Nikoje Lyrics Song Details :-
Song Title :)-Sijui Nikoje
Singer(Artists) –Whozu
Music :)-Whozu
Lyrics :)-Whozu
Song Released Date :)-20th October, 2022
Song Language :)-African (Swwahili)
Song From Origin Country :
Greece
Type :- :)- Rap : Tanzania
Type :- :)- Rap
Label :)-Whozu

Sijui Nikoje Lyrics , Whozu

Too Much Money..
Aaaaah..
Zombie..
Aaaaah..

Mapenzi Yakinogaga Kumposti,
Naanzaga Mimi..
Nikianza Kumchoka Sababu,
Namtafutia Mimi..

Sijui Nikoje..
Ni Sijui Nikoje..
Nikipokea Ka Mchezo,
Tajiri Najiona Mimi..

Nikinywa Na Pombe Nikilewa,
Zinashuka Chini..
Sijui Nikoje..
Mi Sijui Nikoje..

Kwanza Mi Bwana Sijali, Sijali,
Yani Kupretend Maisha Siwezi,
Naipenda Tabia Yangu..

Yaani Sijaali..
Mi Mwenzenu Sijali..

Kwanza Mi Bwana Sijali, Sijali,
Yani Kupretend Maisha Siwezi,
Naipenda Tabia Yangu..
Yaani Sijaali..
Mi Mwenzenu Sijali..

Sijui Nikoje Lyrics , Whozu , Official Music Video